Hujjatul-Islam Sayyid Ahmad Iqbal Rizvi, Naibu Mwenyekiti wa Majlisi ya Wahdatul Muslimin Pakistan, katika Ziara yake alikagua idara mbalimbali za shirika hilo la ABNA na kisha kufanya mahojiano na waandishi wa habari wa ABNA.

19 Novemba 2025 - 17:42

Habari Pichani | Ziara ya Naibu Mwenyekiti wa Majlisi ya Wahdatul Muslimin Pakistan katika Shirika la Habari la Kimataifa la ABNA

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Hujjatul-Islam Sayyid Ahmad Iqbal Rizvi, Naibu Mwenyekiti wa Majlisi ya Wahdatul Muslimin Pakistan, leo Jumatano tarehe 19 / 11/ 2025) alitembelea Shirika la Habari la Kimataifa la ABNA.

Wakati wa ziara hiyo, alikagua idara mbalimbali za shirika hilo na kisha kufanya mahojiano na waandishi wa habari wa ABNA, ambako alijibu maswali kuhusiana na hali ya Waislamu wa Kishia nchini Pakistan na mabadiliko ya kisiasa na kijamii yanayoendelea katika nchi hiyo.

Habari Pichani | Ziara ya Naibu Mwenyekiti wa Majlisi ya Wahdatul Muslimin Pakistan katika Shirika la Habari la Kimataifa la ABNA

Your Comment

You are replying to: .
captcha